Nicki Minaj na Drake wapiga picha ya pamoja baada ya kupita miaka miwili

Nicki Minaj na Drake wapiga picha ya pamoja baada ya kupita miaka miwili

Like
263
0
Thursday, 02 February 2017
habari

Ni muda mrefu Nicki Minaj na Drake hawajaonekana katika picha ya pamoja.

Ni takribani miaka miwili wawili hawa hawajaonekana pamoja huku ikichangiwa na bifu la Drake na ex wa zamani wa Nicki, Meek Mill. Jumatano hii wawili hao wameonekana katika picha ya pamoja wakiwa na rapper Lil Wayne.

“#TheBIG3 #YoungMoney 🎀 ~ 📸,” ameandika Minaj katika moja ya picha alizoaiweka katika mtandao wa Instagram

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *