Chris Brown kuja na ‘Party Tour’, 50 Cent na French Montana ndani

Chris Brown kuja na ‘Party Tour’, 50 Cent na French Montana ndani

Like
422
0
Monday, 20 February 2017
habari

Kwa sasa wasanii wamarekani wamekuwa wakichuana kwa kufanya ziara za kimuziki katika maeneo mbalimbali huku wengine wakivuka mipaka zaidi mpaka katika bara la Ulaya. Naye Chris Brown ametangaza ziara yake aliyoipa jina la ‘Party Tour’ ambapo itawakutanisha mastaa kibao.

Katika ziara hiyo Breezy ataambatana na wasanii kama 50 Cent, French Montana, Fabolous, O.T. Genasis, Kap G na Casanova.

Kupitia mtandao wa Twitter, Chris aliweka picha ya cover ya ziara hiyo na kuandika, “DATES COMING ASAP!!!! Whens the last time you’ve been to a show/concert and have actually been entertained??? WE COMING!!!!.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *