News

Twiga Radio yaingia TuneIn, MyTuner Radio, Radio.net, Garden Radio
habari

Tunazidi kukuwezesha kuweza kutupata kwa urahisi zaidi.Twiga Radio sasa inapatikana  TuneIn, MyTuner Radio, Radio.net pamoja na Radio Garden. Endelea kufurahia...

Friday, 03 March 2017
1
494
0
Vanessa Mdee na Ice Prince watumbuiza kwenye BBA Naija
habari

Vanessa Mdee na rapper wa Nigeria, Ice Prince Zamani jana wametumbuiza kwenye show ya Big Brother Naija 2017. Wawili hao wanafanya vizuri na wimbo wao No Mind Em. Baada ya show hiyo Ice aliweka picha hiyo juu na kuandika: 1 for TV !!! @vanessamdee Thank You sister...

Monday, 20 February 2017
Like
381
0
Chris Brown kuja na ‘Party Tour’, 50 Cent na French Montana ndani
habari

Kwa sasa wasanii wamarekani wamekuwa wakichuana kwa kufanya ziara za kimuziki katika maeneo mbalimbali huku wengine wakivuka mipaka zaidi mpaka katika bara la Ulaya. Naye Chris Brown ametangaza ziara yake aliyoipa jina la ‘Party Tour’ ambapo itawakutanisha mastaa...

Monday, 20 February 2017
Like
421
0
Adele atufunze kuheshimu na kukubali uwezo wa wengine
habari

Kukubali kile ambacho mwingine anacho ni moja kati ya ishara na namna fulani ambayo inaonyesha kua mwanadamu amekomaa kifikra na kiakili kuwa pamoja kuwa anajikubali juu ya uwezo wake lakini anaweza kumpa mwingine heshima yake inapostahiki kufanya hivyo. Siku kadhaa...

Monday, 20 February 2017
Like
339
0
Jokate akutana na Beyonce, Jay Z na Blue Ivy kwenye NBA All-Star Game
habari

Kukutana na Jay Z na Beyonce ni suala gumu, kukutana nao na ukashikana nao mikono na kuzungumza mawili matatu nao ni suala gumu zaidi. Lakini bahati hiyo ya mtende imeamuangukia mrembo wa Tanzania, Jokate Mwegelo Jumapili hii. Siamini: Jokate Mwegelo akisalimia na Jay...

Monday, 20 February 2017
Like
1114
0
Amandla Stenberg kwenye trailer ya Everything, Everything
habari

Ukizungumzia urembo uliopitiliza basi utaupata kwa staa wa filamu The Hunger Games, Amandla Stenberg. Mrembo huyo ameigiza filamu mpya iitwayo “Everything, Everything,” ambayo inatokana na kitabu chenye jina hilo hilo kilichoandikwa na Nicola Yoon. Stenberg...

Wednesday, 15 February 2017
Like
201
0
Shaa arudisha kipara chake, utampenda? Zama ndani kuona picha
habari

Kipara ni mtindo unaotumiwa na warembo wachache duniani. Warembo kama Amber Rose na zamani Kajala, walikuwa wakitambulika haraka kwa style hiyo. Kuna wakati pia Shaa alikuwa mpenzi wa kipara lakini miaka ya karibuni akawa akipigilia weaving na rasta za kila aina kama...

Wednesday, 15 February 2017
Like
245
0
Carlos Santana: Beyoncé ni model, sio muimbaji
habari

Mpiga gitaa maarufu wa Marekani, Carlos Santana anaweza kuwa amewachokoza nyuki wa Beyonce. Baada ya Adele kunyakua tuzo kubwa za Grammy ikiwemo Album of the Year aliyokuwa akishindana na Beyoncé, Santana amesema Queen Bey alikosa sababu sio muimbaji. “Nadhani Adele...

Wednesday, 15 February 2017
Like
189
0
Nuh Mziwanda ataja majina mawili aliyopanga kumuita mwanae, akiwa wa kike atakuwa na jina kama la mtoto wa Mwana FA
habari

Mshawasha wa baba na mama kupata mtoto huwa na hisia za aina yake. Na kwa mwanaume anayetarajia kupata mtoto toka kwa mkewe anayempenda kwa dhati, hamu yake huwa haielekezeki. Wakati ambapo Nuh Mziwanda na mkewe wanasubiria ujio wa mtoto wao wa kwanza, muimbaji huyo...

Wednesday, 08 February 2017
Like
268
0
Kitu P Funk amesema baada ya kumualika Harmorapa kumtembelea studio
habari

Harmorapa umaarufu wake umeanzia tu kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii akijifananisha na mwimbaji wa WCB Harmonize na baada ya hapo ndio akaanza ku-trend. Leo February 6 2017 producer maarufu wa Bongo Records P Funk Majani ambaye anazo sifa nyingi za kuwa hodari wa...

Tuesday, 07 February 2017
1
208
0