News

Bongo Fleva itapaa juu kama wasanii wataacha kutengeza skendo zaidi ya jinsi wanavyotengeneza hits
habari

Tanzania ni moja Kkati ya nchi ambazo huwa inakuwa na matukio na mambo ambayo ni nadra kuyakuta sehemu nyingine yoyote duniani na bahati mbaya zinakuwa ni unwanted records. Hivi unajua katika kiwanda cha bongo fleva wasanii wake wako busy kuhakikisha wanaonekana wana...

Tuesday, 07 February 2017
Like
132
0
Ray Vanny kuja na ngoma aliyomshirikisha Diamond Ray Vanny kuja na ngoma aliyomshirikisha Diamond
habari

Good News kwenye muziki wa Bongo Fleva wiki iliyopita ni Ishu ya watanzania Diamond Platnumz,Alikiba na Navy Kenzo kushinda tuzo za Hipipo Music Awards huko Uganda. Moja ya tuzo alizoshinda Diamond ni tuzo ya Video bora East Africa kupitia video ya Salome...

Tuesday, 07 February 2017
Like
275
0
Kumbe ni kweli ‘One Dance’ ya Drake imeandikwa na Wizkid!
habari

Kumbe ni kweli Wizkid ndio aliyemuandikia Drake wimbo wa ‘One Dance’! Wimbo huo umefanikiwa kufanya vizuri kwenye chati mbalimbali mpaka Billboard. ASCAP wamethibitisha hilo kutokana na kadi hiyo hapo chini ambayo imeonekana kusambaa mitandaoni. Naye Wizkid...

Tuesday, 07 February 2017
Like
200
0
Ninafanya mpango wa kumshirikisha Davido, pia kukutana na Justin Bieber
habari

Malaika hakwenda Marekani kushangaa maghorofa, bali kutafuta kila connection inayoweza kumpaisha juu kimuziki. Akizungumza na DJ Haazu wa Radio5 ya Arusha, hitmaker huyo wa Zogo, amedai kuwa tayari ameshafanya collabo na msanii mkubwa wa Sierra Leone. Kama hiyo...

Friday, 03 February 2017
Like
189
0
Ben Pol, Christian Bella, G-Nako na Dogo Richie kuwasha moto Mombasa
habari

Wasanii wakali wa Bongo Flava, Ben Pol, Christian Bella na G-Nako pamoja na mkali wa kibao kinachotamba kwa sasa nchini Kenya, ‘Mziki Majanga’, Dogo Richie aka Richie Ree, usiku wa Jumamosi, Feb 25 wanatarajiwa kuporomosha burudani lukuki hapa mjini Mombasa. Show...

Thursday, 02 February 2017
Like
299
0
Nicki Minaj na Drake wapiga picha ya pamoja baada ya kupita miaka miwili
habari

Ni muda mrefu Nicki Minaj na Drake hawajaonekana katika picha ya pamoja. Ni takribani miaka miwili wawili hawa hawajaonekana pamoja huku ikichangiwa na bifu la Drake na ex wa zamani wa Nicki, Meek Mill. Jumatano hii wawili hao wameonekana katika picha ya pamoja wakiwa...

Thursday, 02 February 2017
Like
262
0
Harmorapa si wa mchezo mchezo, aonyesha mahela mtandaoni
habari

Msanii wa muziki wa hip hop Harmorapa akiwa bado anaendelea kutrendi katika mitandao ya kijamii, amekuja na mpya kwa kuonyesha mabunda ya hela mtandaoni. Rapper huyo ambaye anafananishwa na msanii kutoka kundi la WCB Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, Jumatano hii...

Thursday, 02 February 2017
Like
185
0
Trace TV leo kuanza kuionesha video ya ‘Marry You’ ya Diamond na Ne-Yo
habari

Baada ya takriban miaka miwili tangu urekodiwe, hatimaye wimbo wa Diamond aliomshirikisha msanii wa Marekani, Ne-Yo, ‘Marry You’ unatoka rasmi, Jumatano hii. Ni Trace TV ndiyo inakuwa ya kwanza kuionesha video hiyo. Kituo hicho cha runinga kimepost video ya staa...

Wednesday, 01 February 2017
Like
194
0
Kanye West ataja tarehe ya kuachia Yeezy Season 5
habari

Baada ya kupata matatizo ya ugonjwa na kukaa kimya kwa muda mrefu, Kanye West anajipanga kuachia nguo zake za Yeezy Season 5, Februari 15 mwaka huu. Onesho hilo linatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Pier 59 Studios uliopo jijini New York. Awali fashion show yake ya...

Wednesday, 01 February 2017
Like
141
0
Mimi nafanya kazi kama kichaa – Vanessa Mdee
habari

Msanii wa muziki Vanessa Mdee amefunguka kwa kudai kuwa yeye ni mmoja kati ya wanawake ambao wanafanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha maisha yake yanaenda sawa. Akiongea katika kipindi cha Wanawake Live cha EATV wiki hii, Vanessa amedai yeye ni mwanawake ambaye...

Wednesday, 01 February 2017
Like
161
0