News

Selena Gomez na The Weeknd hakuna siri tena
habari

Mapenzi ni kama kikohozi kikikushika huwezi kuficha. Mapenzi ya Selena Gomez na The Weeknd sasa hayana siri tena. Wawili hao wameonekana wakiwa katika hoteli ya kifahari ya Belmond Villa San Michele iliyopo mjini Venice, Italia ambapo wameweka kambi kwa ajili ya...

Wednesday, 01 February 2017
Like
172
0
Makampuni yamiminika kudhamini 40 ya mtoto wa Diamond
habari

Watoto wa Diamond Platnumz huzaliwa wakiwa na harufu za ustaa unaotoka kwa baba na mama yao, Zari The Bosslady. Wakati Tiffah akiendelea kushikilia taji la mtoto staa kuliko wote Afrika, mdogo wake Nillan yuko nyuma kufuata nyayo zake. Makampuni takriban matano...

Wednesday, 01 February 2017
Like
166
0
Dayna Nyange atoa somo kwa wasanii wanaoandikiwa nyimbo zao
habari

Dayna Nyange ametoa somo kwa wasanii ambao hawana uwezo wa kuandika nyimbo zao. Hitmaker huyo wa Komela, amekiambia kipindi cha E News cha EATV Jumanne hii, wasanii wajifunze kuandika kwani wanaweza wakapata bahati ya kufanya kazi na msanii mkubwa duniani wakaanza...

Wednesday, 01 February 2017
Like
176
0
Kumbe Dogo Janja ndiye amemrudisha Madee kurap kwenye Hela!
habari

Unashangaa kusikia kuwa Dogo Janja ndio amemrudisha Madee kwenye kuchana? Ni muda mrefu tumekuwa tukimsikia Madee akiwa anaimba kwenye nyimbo zake kabla ya kuachia ‘Hela’ hivi karibuni.    Akiongea katika kipindi cha Flavour Express cha Maisha FM ya Dodoma na...

Tuesday, 31 January 2017
1
202
0
Diamond aporomosha matusi mazito kwenye Instagram Live
habari

Instagram Live inawapa uchizi mastaa na kadri siku zinavyokwenda, mambo yanazidi kuchemka. Jumapili iliyomalizika, Diamond alikuwa live kwa muda mrefu kwenye mtandao huo akiwa nyumbani kwake, Pretoria, Afrika Kusini pamoja na familia yake. Kwenye video hiyo ya moja kwa...

Tuesday, 31 January 2017
2
298
0
Tunaweza kupata album ya Mwana FA iwapo mipango hii ikienda sawa
habari

Nani asiyependa kumiliki album mpya ya mmoja wa waandishi wakali wa mashairi ya hip hop wa muda wote kutoka Tanzania – Hamis ‘Mwana FA’ Mwinjuma? Kama wewe ni mmoja wa mashabiki damu damu na Binamu, basi tuombe Mungu mipango iliyopo mezani mwake ifanikiwe ili...

Monday, 30 January 2017
1
182
0
Napenda kufanya kazi nje ya matarajio ya wengi – Joh Makini
habari

Joh Makini anataka kuweka kitu kimoja ‘very clear’ kuwa hupenda kufanya kazi nje ya matarajio ya wengi. Kauli yake inakuwa jibu kwa baadhi ya mashabiki walio na mtazamo tofauti na kazi yake mpya, Waya. “Siku zote kwenye sanaa, lazima uwe mtu tofauti na...

Monday, 30 January 2017
2
184
0
Hii ndio tarehe ambayo album ya Fid Q ‘Kitaaolojia’ itatoka
habari

Ni mwaka wa tatu sasa tumekuwa tukisubiri album ya tatu ya Fid Q, Kitaaolojia. Kwanini haitoki, ama nayo inataka kuwa kama Detox ya Dr Dre? Habari njema ni kuwa, album hiyo mwaka huu lazima iingie mtaani ili kusambaza hiyo elimu ya mtaa, iliyobeba jina lake....

Monday, 30 January 2017
1
237
0
Young Killer aongea kuhusu kumpigia magoti Mona Gangster
habari

Ni Rapper mwingine kwenye fleva ya bongo sasa hivi ambapo amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV Entertainment Dar es salaam na kuongea ukweli kuhusu taarifa za yeye kumpigia magoti Mona Ganster. Killer amesema ‘kuhusu kumpigia magoti binadamu mwenzangu ni jambo...

Monday, 30 January 2017
Like
208
0
Ngoma yangu ijayo nimemshirikisha Muisrael – Azma Mponda
habari

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Astara Vaste aliyompa shavu Belle 9, rapper Azma Mponda ameweka wazi mipango yake ya kuvuka boda za +255 ili kujitangaza zaidi. Rapper huyo ambaye anajivunia kufikisha views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube kupitia ngoma...

Wednesday, 25 January 2017
1
212
0