News

Bruno Mars, Adele, John Legend na wengine kutumbuiza kwenye tuzo za Grammy mwaka huu
habari

Waandaaji wa tuzo za Grammy wamemtangaza Bruno Mars kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika utoaji wa tuzo hizo mwaka huu. Bruno anaungana na wasanii wengine ambao wametangazwa kuwasha moto katika jukwaa hilo akiwemo Adele, John Legend, Metallica, Carrie...

Tuesday, 24 January 2017
2
418
0
Iggy Azalea azama kwenye penzi jipya la mtayarishaji wa muziki
habari

Baada ya kuyeyuka kwa penzi la Iggy Azalea na French Montana, sasa mrembo huyo amehusishwa kuingia katika penzi jipya na mtayarishaji wa muziki nchini Marekani. Jumapili hii Iggy alionekana katika fukwe za eneo la Cabo San Lucas akila bata katika boti binafsi akiwa na...

Tuesday, 24 January 2017
2
203
0
Tiny atuma ujumbe mpya kwa mumewe rapper T.I
habari

Baada ya Tiny kudai talaka kutoka kwa T.I, muimbaji huyo wa zamani wa kundi la Xscape ametuma ujumbe mpya na wa kushtua kwa mumewe huyo. Tiny ameonekana kwenye kipande cha video kilichopo kwenye mtandao wa TMZ, akiongea maneno ambayo yanaonyesha kuwa bado anamhitaji...

Tuesday, 24 January 2017
1
416
0
Ilinichukua saa moja tu kurekodi cover ya ‘Upepo’ ya Recho – Ray C
habari

Kwa muda wote ambao Recho alikuwa akifanya muziki, sauti yake ilikuwa ikifananishwa na ile ya Rehema Chalamila aka Ray C. Na Upepo, ni moja kati ya nyimbo za Recho zilizowahi kufanya vizuri. Sasa imagine, wimbo huo ukiimbwa na Ray C mwenyewe! Hatari. Muimbaji huyo...

Tuesday, 24 January 2017
1
486
0
Nini maana ya baruti na moshi kwenye video hizi tatu mpya za Bongo?
habari

Nafurahi ninapoona video kali zinazofanya vizuri kwenye channel za Bongo na nje ya Bongo ambazo zimeongozwa na director wazawa pia. Kuna kipindi waongozaji walikuwa wanalalamika kuwa wasanii wanakimbilia nje kushuti video, wakati hata wao wakipewa bajeti nzuri wanaweza...

Tuesday, 24 January 2017
Like
199
0
AY: Joh Makini ni rapper mkali kuliko yeyote aliyetokea miaka 9 iliyopita
habari

Joh Makini si wamchezo mchezo. Rapper AY amefunguka kuhusu uwezo wake kwenye muziki wa Hip Hop nchini. Akiongea na kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Jumatano hii, AY amedai kuwa hakuna rapper aliyemzidi Joh katika kipindi cha miaka tisa iliyopita. “Hakuna rapa...

Friday, 03 April 2015
2
242
0
Baba yangu aliuawa – Paris Jackson
habari

Mtoto wa Michael Jackson, Paris anaamini kuwa baba yake aliuawa. MJ alifariki June 25, 2009. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la The Rolling Stone, Paris alisema, “Alikuwa akielezea kuhusu watu waliokuwa wakimtafuta. Kuna wakati alisema ‘watakuja kuniua siku...

Monday, 09 February 2015
Like
175
0