Selena Gomez na The Weeknd hakuna siri tena

Selena Gomez na The Weeknd hakuna siri tena

Like
172
0
Wednesday, 01 February 2017
habari

Mapenzi ni kama kikohozi kikikushika huwezi kuficha. Mapenzi ya Selena Gomez na The Weeknd sasa hayana siri tena.

Wawili hao wameonekana wakiwa katika hoteli ya kifahari ya Belmond Villa San Michele iliyopo mjini Venice, Italia ambapo wameweka kambi kwa ajili ya mapumziko yao wakitokea Florence. Imedaiwa kuwa kulala usiku mmoja katika hoteli hiyo inagharimu kiasi cha dola 4,000 hadi 7,000.

Hoteli hiyo ni maarufu zaidi kwa kufikiwa na mastaa mbalimbali duniani ambapo hata Kanye West na mkewe Kim Kardashian waliwahi kuweka kambi hapo wakati wa harusi yao. Tazama picha zaidi hapa chini za Selena na The Weend.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *