beyonce

Adele atufunze kuheshimu na kukubali uwezo wa wengine
habari

Kukubali kile ambacho mwingine anacho ni moja kati ya ishara na namna fulani ambayo inaonyesha kua mwanadamu amekomaa kifikra na kiakili kuwa pamoja kuwa anajikubali juu ya uwezo wake lakini anaweza kumpa mwingine heshima yake inapostahiki kufanya hivyo. Siku kadhaa zilizopita mwanamuziki Adele alishinda tuzo za Grammy na moja kati ya tunzo alizoshinda ni katika kipengele cha album bora akimshinda Beyonce aliyekuwa akiwania tunzo hiyo pia. Cha kusisimua ni pale Adele alipokiri hadharani kua hakudhani Kama alistahili tuzo ile mbele...

Like
339
0
Monday, 20 February 2017