dar es salaam

Jokate akutana na Beyonce, Jay Z na Blue Ivy kwenye NBA All-Star Game
habari

Kukutana na Jay Z na Beyonce ni suala gumu, kukutana nao na ukashikana nao mikono na kuzungumza mawili matatu nao ni suala gumu zaidi. Lakini bahati hiyo ya mtende imeamuangukia mrembo wa Tanzania, Jokate Mwegelo Jumapili hii. Siamini: Jokate Mwegelo akisalimia na Jay Z huku mtoto wake, Blue Ivy akiamtazama kwa makini. Pembeni yao ni Queen Bey Jojo amefanikiwa kukutana na The Carters wakiwa na mtoto wao, Blue Ivy kwenye mchezo wa NBA All-Star Game uliofanyika Jumapili mjini New Orleans,...

Like
1146
0
Monday, 20 February 2017
Amandla Stenberg kwenye trailer ya Everything, Everything
habari

Ukizungumzia urembo uliopitiliza basi utaupata kwa staa wa filamu The Hunger Games, Amandla Stenberg. Mrembo huyo ameigiza filamu mpya iitwayo “Everything, Everything,” ambayo inatokana na kitabu chenye jina hilo hilo kilichoandikwa na Nicola Yoon. Stenberg anacheza kama msichana mwenye ugonjwa ambaye anatakiwa kukaa tu ndani maisha yake yote ili kuwa salama. Tazama trailer yake hapo chini. Filamu itaingia theater May...

Like
205
0
Wednesday, 15 February 2017
Shaa arudisha kipara chake, utampenda? Zama ndani kuona picha
habari

Kipara ni mtindo unaotumiwa na warembo wachache duniani. Warembo kama Amber Rose na zamani Kajala, walikuwa wakitambulika haraka kwa style hiyo. Kuna wakati pia Shaa alikuwa mpenzi wa kipara lakini miaka ya karibuni akawa akipigilia weaving na rasta za kila aina kama warembo wengine. Ni labda katika kutaka kuwa na Valentine’s Day ya tofauti mwaka huu, Shaa ameamua kukirudisha kipara chake. Good news ni kuwa, bae – Master J, amependa. Kitu kizuri kuhusu kipara kwa wanawake, ni kuwa bajeti ya...

Like
252
0
Wednesday, 15 February 2017
Carlos Santana: Beyoncé ni model, sio muimbaji
habari

Mpiga gitaa maarufu wa Marekani, Carlos Santana anaweza kuwa amewachokoza nyuki wa Beyonce. Baada ya Adele kunyakua tuzo kubwa za Grammy ikiwemo Album of the Year aliyokuwa akishindana na Beyoncé, Santana amesema Queen Bey alikosa sababu sio muimbaji. “Nadhani Adele alishinda kwasababu anaweza kuimba,” aliimbia Australian Associated Press. “Kwa heshima na taadhima kwa dada yangu Beyoncé, Beyoncé ni mzuri sana kumwangalia ni kama muziki wa ulimbwende, sio muimbaji,” aliongeza. “Adele anaweza kuimba. Haleti dancers wote, huweza...

Like
197
0
Wednesday, 15 February 2017
Ben Pol, Christian Bella, G-Nako na Dogo Richie kuwasha moto Mombasa
habari

Wasanii wakali wa Bongo Flava, Ben Pol, Christian Bella na G-Nako pamoja na mkali wa kibao kinachotamba kwa sasa nchini Kenya, ‘Mziki Majanga’, Dogo Richie aka Richie Ree, usiku wa Jumamosi, Feb 25 wanatarajiwa kuporomosha burudani lukuki hapa mjini Mombasa. Show hiyo iliyopewa jina la BONGO CONNECT inaandaliwa na kudhaminiwa na promoter maarufu wa muziki wa kizazi kipya Kenya, Baba Tee na mmiliki wa kampuni ya kupromote wanamuziki ya KingKong Entertainment. MaMc wa show hiyo watakuwa watangazaji wa kituo cha...

Like
299
0
Thursday, 02 February 2017
Nicki Minaj na Drake wapiga picha ya pamoja baada ya kupita miaka miwili
habari

Ni muda mrefu Nicki Minaj na Drake hawajaonekana katika picha ya pamoja. Ni takribani miaka miwili wawili hawa hawajaonekana pamoja huku ikichangiwa na bifu la Drake na ex wa zamani wa Nicki, Meek Mill. Jumatano hii wawili hao wameonekana katika picha ya pamoja wakiwa na rapper Lil Wayne. “#TheBIG3 #YoungMoney 🎀 ~ 📸,” ameandika Minaj katika moja ya picha alizoaiweka katika mtandao wa...

Like
262
0
Thursday, 02 February 2017