habari

Trace TV leo kuanza kuionesha video ya ‘Marry You’ ya Diamond na Ne-Yo
habari

Baada ya takriban miaka miwili tangu urekodiwe, hatimaye wimbo wa Diamond aliomshirikisha msanii wa Marekani, Ne-Yo, ‘Marry You’ unatoka rasmi, Jumatano hii. Ni Trace TV ndiyo inakuwa ya kwanza kuionesha video hiyo. Kituo hicho cha runinga kimepost video ya staa huyo kwenye Twitter akielezea kuhusu kurushwa kwa video yake. Tayari Youtube wimbo huu umewekwa kwenye utitiri wa channel lakini ulikuwa haujawahi kuachiwa rasmi. Video ya wimbo huo ilifanyika Marekani mwaka jana. Awali, video ilikuwa itoke mapema zaidi, lakini ratiba ilibadilika...

Like
185
0
Wednesday, 01 February 2017
Kanye West ataja tarehe ya kuachia Yeezy Season 5
habari

Baada ya kupata matatizo ya ugonjwa na kukaa kimya kwa muda mrefu, Kanye West anajipanga kuachia nguo zake za Yeezy Season 5, Februari 15 mwaka huu. Onesho hilo linatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Pier 59 Studios uliopo jijini New York. Awali fashion show yake ya Yeezy Season 4 iliangukia pua kitendo ambacho kilimfanya rapper huyo kufukuza wafanyakazi wake wote 30 na kuamua kujikita katika ziara yake ya Saint...

Like
133
0
Wednesday, 01 February 2017
Mimi nafanya kazi kama kichaa – Vanessa Mdee
habari

Msanii wa muziki Vanessa Mdee amefunguka kwa kudai kuwa yeye ni mmoja kati ya wanawake ambao wanafanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha maisha yake yanaenda sawa. Akiongea katika kipindi cha Wanawake Live cha EATV wiki hii, Vanessa amedai yeye ni mwanawake ambaye wanafanya kazi kwa bidii huku akidai tayari amejipangia ratiba ya kazi zake mpaka mwezi wa nne. “Mimi nafanya kazi kama kichaa, kwa sababu kuna vitu ambavyo najua natakiwa nivitimize kwa muda fulani. Kwa hiyo najua nikivitimiza, nitakuwa...

Like
156
0
Wednesday, 01 February 2017
Selena Gomez na The Weeknd hakuna siri tena
habari

Mapenzi ni kama kikohozi kikikushika huwezi kuficha. Mapenzi ya Selena Gomez na The Weeknd sasa hayana siri tena. Wawili hao wameonekana wakiwa katika hoteli ya kifahari ya Belmond Villa San Michele iliyopo mjini Venice, Italia ambapo wameweka kambi kwa ajili ya mapumziko yao wakitokea Florence. Imedaiwa kuwa kulala usiku mmoja katika hoteli hiyo inagharimu kiasi cha dola 4,000 hadi 7,000. Hoteli hiyo ni maarufu zaidi kwa kufikiwa na mastaa mbalimbali duniani ambapo hata Kanye West na mkewe Kim Kardashian waliwahi...

Like
164
0
Wednesday, 01 February 2017
Makampuni yamiminika kudhamini 40 ya mtoto wa Diamond
habari

Watoto wa Diamond Platnumz huzaliwa wakiwa na harufu za ustaa unaotoka kwa baba na mama yao, Zari The Bosslady. Wakati Tiffah akiendelea kushikilia taji la mtoto staa kuliko wote Afrika, mdogo wake Nillan yuko nyuma kufuata nyayo zake. Makampuni takriban matano yamejitokeza kudhamini sherehe za Nillan kutimiza siku 40, ambapo kwa mara ya kwanza sura yake itaoneshwa. Sherehe hizo zitafanyika wiki moja...

Like
159
0
Wednesday, 01 February 2017
Dayna Nyange atoa somo kwa wasanii wanaoandikiwa nyimbo zao
habari

Dayna Nyange ametoa somo kwa wasanii ambao hawana uwezo wa kuandika nyimbo zao. Hitmaker huyo wa Komela, amekiambia kipindi cha E News cha EATV Jumanne hii, wasanii wajifunze kuandika kwani wanaweza wakapata bahati ya kufanya kazi na msanii mkubwa duniani wakaanza kuhangaika. “Siyo vibaya kuandikiwa wimbo lakini kwa wakati mwingine ni vizuri kujua kujiandikia mwenyewe kwani unaweza kupata zali la kuingia studio kubwa hata nje ya nchi na kupata nafasi ya kurekodi hata na wasanii wakubwa ukashindwa na ukapoteza zali...

Like
170
0
Wednesday, 01 February 2017
Diamond aporomosha matusi mazito kwenye Instagram Live
habari

Instagram Live inawapa uchizi mastaa na kadri siku zinavyokwenda, mambo yanazidi kuchemka. Jumapili iliyomalizika, Diamond alikuwa live kwa muda mrefu kwenye mtandao huo akiwa nyumbani kwake, Pretoria, Afrika Kusini pamoja na familia yake. Kwenye video hiyo ya moja kwa moja, kwa wakati fulani Diamond alipewa kampani na mama wa watoto wake, Zari pamoja na mtoto wao wa kwanza, Tiffah.   Hata hivyo mambo yalibadilika baada ya staa huyo kuanza kutokwa na matusi ya nguoni aliyoyaelekeza kwa mtu aliyamuambia kuwa anamchukia....

2
267
0
Tuesday, 31 January 2017
Napenda kufanya kazi nje ya matarajio ya wengi – Joh Makini
habari

Joh Makini anataka kuweka kitu kimoja ‘very clear’ kuwa hupenda kufanya kazi nje ya matarajio ya wengi. Kauli yake inakuwa jibu kwa baadhi ya mashabiki walio na mtazamo tofauti na kazi yake mpya, Waya. “Siku zote kwenye sanaa, lazima uwe mtu tofauti na usiyetabirika kwamba unakuja vipi,” Joh alimuambia mtangazaji, Eddy Msafi kupitia kipindi cha Full Charge cha Pride FM ya Mtwara.   “Kwa maana hiyo nimeona Waya ni wimbo mzuri na mkali na unaweza kufanya vizuri sehemu yoyote duniani...

2
177
0
Monday, 30 January 2017
Hii ndio tarehe ambayo album ya Fid Q ‘Kitaaolojia’ itatoka
habari

Ni mwaka wa tatu sasa tumekuwa tukisubiri album ya tatu ya Fid Q, Kitaaolojia. Kwanini haitoki, ama nayo inataka kuwa kama Detox ya Dr Dre? Habari njema ni kuwa, album hiyo mwaka huu lazima iingie mtaani ili kusambaza hiyo elimu ya mtaa, iliyobeba jina lake. “Kitaaolojia ni kweli ina miaka mitatu imekuwa kama Detox na nini, lakini unajua mimi ni perfectionist, natakaa itokee kweli konki,” Fareed ameiambia Bongo5. “Na idea zimekuwa zikibadilika mara kwa mara, lakini so far sasa hivi...

1
225
0
Monday, 30 January 2017