Music

Ilinichukua saa moja tu kurekodi cover ya ‘Upepo’ ya Recho – Ray C
habari

Kwa muda wote ambao Recho alikuwa akifanya muziki, sauti yake ilikuwa ikifananishwa na ile ya Rehema Chalamila aka Ray C. Na Upepo, ni moja kati ya nyimbo za Recho zilizowahi kufanya vizuri. Sasa imagine, wimbo huo ukiimbwa na Ray C mwenyewe! Hatari. Muimbaji huyo mkongwe amepokea pongezi nyingi wiki hii kutokana na kufanya cover ya wimbo huo itakayojumuishwa kwenye album ya Valentine’s Day. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Loudspika cha Africa Swahili FM kinachoendeshwa na Ergon Elly kuwa ilimtumia saa...

1
466
0
Tuesday, 24 January 2017
Nini maana ya baruti na moshi kwenye video hizi tatu mpya za Bongo?
habari

Nafurahi ninapoona video kali zinazofanya vizuri kwenye channel za Bongo na nje ya Bongo ambazo zimeongozwa na director wazawa pia. Kuna kipindi waongozaji walikuwa wanalalamika kuwa wasanii wanakimbilia nje kushuti video, wakati hata wao wakipewa bajeti nzuri wanaweza kufanya kazi nzuri. Naweza kuwapongeza wasanii kwa kuona hilo licha ya kuwa bado serikali inalalamikiwa kuwa haitoi sapoti ipasavyo. Lakini kwa video hizi zilizotoka mwezi huu tena kwa kufukuzana pamoja na kuwa ni video kali ila naona kuna kitu kinajirudia tena kisicho...

Like
194
0
Tuesday, 24 January 2017
AY: Joh Makini ni rapper mkali kuliko yeyote aliyetokea miaka 9 iliyopita
habari

Joh Makini si wamchezo mchezo. Rapper AY amefunguka kuhusu uwezo wake kwenye muziki wa Hip Hop nchini. Akiongea na kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Jumatano hii, AY amedai kuwa hakuna rapper aliyemzidi Joh katika kipindi cha miaka tisa iliyopita. “Hakuna rapa mwingine aliyeingia kwenye ‘game’ baada ya mwaka 2008 akawa mkali kumzidi Joh Makini,” amesema AY. Kwa sasa Joh ameachia nyimbo mpya ‘Waya’ huku AY na yeye akiwa ameachia wimbo mpya ‘More and More’ aliomshirikisha Nyashinski kutoka...

2
231
0
Friday, 03 April 2015
Baba yangu aliuawa – Paris Jackson
habari

Mtoto wa Michael Jackson, Paris anaamini kuwa baba yake aliuawa. MJ alifariki June 25, 2009. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la The Rolling Stone, Paris alisema, “Alikuwa akielezea kuhusu watu waliokuwa wakimtafuta. Kuna wakati alisema ‘watakuja kuniua siku moja.’ Msichana huyo anasema kila mmoja kwenye familia yake anaamini kuwa kulikuwa na mpango mchafu dhidi ya baba yake. Anadai kuwa siku moja atapata haki yake. “Ni mchezo wa chess. Na ninajaribu kucheza mchezo wa chess vizuri.” Amemnyooshea vidole pia daktari wake,...

Like
170
0
Monday, 09 February 2015