Vanessa Mdee na rapper wa Nigeria, Ice Prince Zamani jana wametumbuiza kwenye show ya Big Brother Naija 2017. Wawili hao wanafanya vizuri na wimbo wao No Mind Em. Baada ya show hiyo Ice aliweka picha hiyo juu na kuandika: 1 for TV !!! @vanessamdee Thank You sister #NoMindDem đ.â Show yao imesifiwa na watu...
Kwa sasa wasanii wamarekani wamekuwa wakichuana kwa kufanya ziara za kimuziki katika maeneo mbalimbali huku wengine wakivuka mipaka zaidi mpaka katika bara la Ulaya. Naye Chris Brown ametangaza ziara yake aliyoipa jina la âParty Tourâ ambapo itawakutanisha mastaa kibao. Katika ziara hiyo Breezy ataambatana na wasanii kama 50 Cent, French Montana, Fabolous, O.T. Genasis, Kap G na Casanova. Kupitia mtandao wa Twitter, Chris aliweka picha ya cover ya ziara hiyo na kuandika, âDATES COMING ASAP!!!! Whens the last time youâve...
Kukubali kile ambacho mwingine anacho ni moja kati ya ishara na namna fulani ambayo inaonyesha kua mwanadamu amekomaa kifikra na kiakili kuwa pamoja kuwa anajikubali juu ya uwezo wake lakini anaweza kumpa mwingine heshima yake inapostahiki kufanya hivyo. Siku kadhaa zilizopita mwanamuziki Adele alishinda tuzo za Grammy na moja kati ya tunzo alizoshinda ni katika kipengele cha album bora akimshinda Beyonce aliyekuwa akiwania tunzo hiyo pia. Cha kusisimua ni pale Adele alipokiri hadharani kua hakudhani Kama alistahili tuzo ile mbele...
Kukutana na Jay Z na Beyonce ni suala gumu, kukutana nao na ukashikana nao mikono na kuzungumza mawili matatu nao ni suala gumu zaidi. Lakini bahati hiyo ya mtende imeamuangukia mrembo wa Tanzania, Jokate Mwegelo Jumapili hii. Siamini: Jokate Mwegelo akisalimia na Jay Z huku mtoto wake, Blue Ivy akiamtazama kwa makini. Pembeni yao ni Queen Bey Jojo amefanikiwa kukutana na The Carters wakiwa na mtoto wao, Blue Ivy kwenye mchezo wa NBA All-Star Game uliofanyika Jumapili mjini New Orleans,...
Ukizungumzia urembo uliopitiliza basi utaupata kwa staa wa filamu The Hunger Games, Amandla Stenberg. Mrembo huyo ameigiza filamu mpya iitwayo âEverything, Everything,â ambayo inatokana na kitabu chenye jina hilo hilo kilichoandikwa na Nicola Yoon. Stenberg anacheza kama msichana mwenye ugonjwa ambaye anatakiwa kukaa tu ndani maisha yake yote ili kuwa salama. Tazama trailer yake hapo chini. Filamu itaingia theater May...
Kipara ni mtindo unaotumiwa na warembo wachache duniani. Warembo kama Amber Rose na zamani Kajala, walikuwa wakitambulika haraka kwa style hiyo. Kuna wakati pia Shaa alikuwa mpenzi wa kipara lakini miaka ya karibuni akawa akipigilia weaving na rasta za kila aina kama warembo wengine. Ni labda katika kutaka kuwa na Valentineâs Day ya tofauti mwaka huu, Shaa ameamua kukirudisha kipara chake. Good news ni kuwa, bae â Master J, amependa. Kitu kizuri kuhusu kipara kwa wanawake, ni kuwa bajeti ya...
Mpiga gitaa maarufu wa Marekani, Carlos Santana anaweza kuwa amewachokoza nyuki wa Beyonce. Baada ya Adele kunyakua tuzo kubwa za Grammy ikiwemo Album of the Year aliyokuwa akishindana na BeyoncĂ©, Santana amesema Queen Bey alikosa sababu sio muimbaji. âNadhani Adele alishinda kwasababu anaweza kuimba,â aliimbia Australian Associated Press. âKwa heshima na taadhima kwa dada yangu BeyoncĂ©, BeyoncĂ© ni mzuri sana kumwangalia ni kama muziki wa ulimbwende, sio muimbaji,â aliongeza. âAdele anaweza kuimba. Haleti dancers wote, huweza...
Mshawasha wa baba na mama kupata mtoto huwa na hisia za aina yake. Na kwa mwanaume anayetarajia kupata mtoto toka kwa mkewe anayempenda kwa dhati, hamu yake huwa haielekezeki. Wakati ambapo Nuh Mziwanda na mkewe wanasubiria ujio wa mtoto wao wa kwanza, muimbaji huyo ameshachagua majina mawili ya kumpa mtoto wao akizaliwa. Akiwa wa kiume watamuita Travis na akiwa wa kike watamuita Malikah â Mtoto wa kike wa Mwana FA naye anaitwa jina hilo japo huandikwa tofauti, Maleeka. âMama Travis...
Harmorapa umaarufu wake umeanzia tu kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii akijifananisha na mwimbaji wa WCB Harmonize na baada ya hapo ndio akaanza ku-trend. Leo February 6 2017 producer maarufu wa Bongo Records P Funk Majani ambaye anazo sifa nyingi za kuwa hodari wa kuwatoa Wasanii wengi, amemualika Harmorapa kwenye studio yake na kuipost picha wakiwa pamoja na ikazua maswali mengi. AyoTV Â imempata P Funk na akakubali kujibu maswali ya ilikuaje wakakutana na mpaka akamualika studio ambapo amejibu >>> âAmekuja kiushkaji...
Tanzania ni moja Kkati ya nchi ambazo huwa inakuwa na matukio na mambo ambayo ni nadra kuyakuta sehemu nyingine yoyote duniani na bahati mbaya zinakuwa ni unwanted records. Hivi unajua katika kiwanda cha bongo fleva wasanii wake wako busy kuhakikisha wanaonekana wana mafanikio kwenye social networks kuliko kutafuta hayo mafanikio yenyewe? Wengine wapo busy kutengeneza skendo kuliko hata muziki mzuri? Bongo fleva ndio sehemu ambayo mashabiki wanapenda wasanii wao kuliko muziki wenyewe wanaoufanya? Yaani wapo radhi kusupport kitu chochote hata...