muziki

Tunaweza kupata album ya Mwana FA iwapo mipango hii ikienda sawa
habari

Nani asiyependa kumiliki album mpya ya mmoja wa waandishi wakali wa mashairi ya hip hop wa muda wote kutoka Tanzania – Hamis ‘Mwana FA’ Mwinjuma? Kama wewe ni mmoja wa mashabiki damu damu na Binamu, basi tuombe Mungu mipango iliyopo mezani mwake ifanikiwe ili tupatiwe fursa hiyo adimu kwenye muziki wa leo. “Tuna muziki mwingi ndani, kama kutotolewa kwa album kutaendelea, inawezekana kuna nyimbo hazitokaa zisikike maisha yote,” FA ameiambia Bongo5. FA amesema kwa miaka mingi wamekuwa wakitafuta utaratibu ambao...

1
182
0
Monday, 30 January 2017