news

Hii ndio tarehe ambayo album ya Fid Q ‘Kitaaolojia’ itatoka
habari

Ni mwaka wa tatu sasa tumekuwa tukisubiri album ya tatu ya Fid Q, Kitaaolojia. Kwanini haitoki, ama nayo inataka kuwa kama Detox ya Dr Dre? Habari njema ni kuwa, album hiyo mwaka huu lazima iingie mtaani ili kusambaza hiyo elimu ya mtaa, iliyobeba jina lake. “Kitaaolojia ni kweli ina miaka mitatu imekuwa kama Detox na nini, lakini unajua mimi ni perfectionist, natakaa itokee kweli konki,” Fareed ameiambia Bongo5. “Na idea zimekuwa zikibadilika mara kwa mara, lakini so far sasa hivi...

1
237
0
Monday, 30 January 2017
Ngoma yangu ijayo nimemshirikisha Muisrael – Azma Mponda
habari

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Astara Vaste aliyompa shavu Belle 9, rapper Azma Mponda ameweka wazi mipango yake ya kuvuka boda za +255 ili kujitangaza zaidi. Rapper huyo ambaye anajivunia kufikisha views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube kupitia ngoma yake ya ‘Jinsi ya Kumfikisha Mpenzi’, ameiambia Super Mega ya Kings Fm kuwa project yake ijayo ataifanya nje ya nchi. “Baada ya Astara Vaste, kuna project kubwa sana inakuja, kwa taarifa tu, ni project ambayo nimefanya na...

1
211
0
Wednesday, 25 January 2017
Iggy Azalea azama kwenye penzi jipya la mtayarishaji wa muziki
habari

Baada ya kuyeyuka kwa penzi la Iggy Azalea na French Montana, sasa mrembo huyo amehusishwa kuingia katika penzi jipya na mtayarishaji wa muziki nchini Marekani. Jumapili hii Iggy alionekana katika fukwe za eneo la Cabo San Lucas akila bata katika boti binafsi akiwa na Ljay Currie ambaye ndio anadaiwa kuwa mpenzi wake kwa sasa pamoja na marafiki zao wengine wa karibu. Ljay ni mtayarishaji wa muziki ambaye aliwahi kufanya kazi na Chris Brown. Wakati huo huo Agosti mwaka jana Iggy...

2
203
0
Tuesday, 24 January 2017
Ilinichukua saa moja tu kurekodi cover ya ‘Upepo’ ya Recho – Ray C
habari

Kwa muda wote ambao Recho alikuwa akifanya muziki, sauti yake ilikuwa ikifananishwa na ile ya Rehema Chalamila aka Ray C. Na Upepo, ni moja kati ya nyimbo za Recho zilizowahi kufanya vizuri. Sasa imagine, wimbo huo ukiimbwa na Ray C mwenyewe! Hatari. Muimbaji huyo mkongwe amepokea pongezi nyingi wiki hii kutokana na kufanya cover ya wimbo huo itakayojumuishwa kwenye album ya Valentine’s Day. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Loudspika cha Africa Swahili FM kinachoendeshwa na Ergon Elly kuwa ilimtumia saa...

1
486
0
Tuesday, 24 January 2017
Baba yangu aliuawa – Paris Jackson
habari

Mtoto wa Michael Jackson, Paris anaamini kuwa baba yake aliuawa. MJ alifariki June 25, 2009. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la The Rolling Stone, Paris alisema, “Alikuwa akielezea kuhusu watu waliokuwa wakimtafuta. Kuna wakati alisema ‘watakuja kuniua siku moja.’ Msichana huyo anasema kila mmoja kwenye familia yake anaamini kuwa kulikuwa na mpango mchafu dhidi ya baba yake. Anadai kuwa siku moja atapata haki yake. “Ni mchezo wa chess. Na ninajaribu kucheza mchezo wa chess vizuri.” Amemnyooshea vidole pia daktari wake,...

Like
175
0
Monday, 09 February 2015