party

Vanessa Mdee na Ice Prince watumbuiza kwenye BBA Naija
habari

Vanessa Mdee na rapper wa Nigeria, Ice Prince Zamani jana wametumbuiza kwenye show ya Big Brother Naija 2017. Wawili hao wanafanya vizuri na wimbo wao No Mind Em. Baada ya show hiyo Ice aliweka picha hiyo juu na kuandika: 1 for TV !!! @vanessamdee Thank You sister #NoMindDem 👑.” Show yao imesifiwa na watu...

Like
381
0
Monday, 20 February 2017
Chris Brown kuja na ‘Party Tour’, 50 Cent na French Montana ndani
habari

Kwa sasa wasanii wamarekani wamekuwa wakichuana kwa kufanya ziara za kimuziki katika maeneo mbalimbali huku wengine wakivuka mipaka zaidi mpaka katika bara la Ulaya. Naye Chris Brown ametangaza ziara yake aliyoipa jina la ‘Party Tour’ ambapo itawakutanisha mastaa kibao. Katika ziara hiyo Breezy ataambatana na wasanii kama 50 Cent, French Montana, Fabolous, O.T. Genasis, Kap G na Casanova. Kupitia mtandao wa Twitter, Chris aliweka picha ya cover ya ziara hiyo na kuandika, “DATES COMING ASAP!!!! Whens the last time you’ve...

Like
421
0
Monday, 20 February 2017
Amandla Stenberg kwenye trailer ya Everything, Everything
habari

Ukizungumzia urembo uliopitiliza basi utaupata kwa staa wa filamu The Hunger Games, Amandla Stenberg. Mrembo huyo ameigiza filamu mpya iitwayo “Everything, Everything,” ambayo inatokana na kitabu chenye jina hilo hilo kilichoandikwa na Nicola Yoon. Stenberg anacheza kama msichana mwenye ugonjwa ambaye anatakiwa kukaa tu ndani maisha yake yote ili kuwa salama. Tazama trailer yake hapo chini. Filamu itaingia theater May...

Like
201
0
Wednesday, 15 February 2017
Shaa arudisha kipara chake, utampenda? Zama ndani kuona picha
habari

Kipara ni mtindo unaotumiwa na warembo wachache duniani. Warembo kama Amber Rose na zamani Kajala, walikuwa wakitambulika haraka kwa style hiyo. Kuna wakati pia Shaa alikuwa mpenzi wa kipara lakini miaka ya karibuni akawa akipigilia weaving na rasta za kila aina kama warembo wengine. Ni labda katika kutaka kuwa na Valentine’s Day ya tofauti mwaka huu, Shaa ameamua kukirudisha kipara chake. Good news ni kuwa, bae – Master J, amependa. Kitu kizuri kuhusu kipara kwa wanawake, ni kuwa bajeti ya...

Like
245
0
Wednesday, 15 February 2017
Carlos Santana: Beyoncé ni model, sio muimbaji
habari

Mpiga gitaa maarufu wa Marekani, Carlos Santana anaweza kuwa amewachokoza nyuki wa Beyonce. Baada ya Adele kunyakua tuzo kubwa za Grammy ikiwemo Album of the Year aliyokuwa akishindana na Beyoncé, Santana amesema Queen Bey alikosa sababu sio muimbaji. “Nadhani Adele alishinda kwasababu anaweza kuimba,” aliimbia Australian Associated Press. “Kwa heshima na taadhima kwa dada yangu Beyoncé, Beyoncé ni mzuri sana kumwangalia ni kama muziki wa ulimbwende, sio muimbaji,” aliongeza. “Adele anaweza kuimba. Haleti dancers wote, huweza...

Like
189
0
Wednesday, 15 February 2017
Nuh Mziwanda ataja majina mawili aliyopanga kumuita mwanae, akiwa wa kike atakuwa na jina kama la mtoto wa Mwana FA
habari

Mshawasha wa baba na mama kupata mtoto huwa na hisia za aina yake. Na kwa mwanaume anayetarajia kupata mtoto toka kwa mkewe anayempenda kwa dhati, hamu yake huwa haielekezeki. Wakati ambapo Nuh Mziwanda na mkewe wanasubiria ujio wa mtoto wao wa kwanza, muimbaji huyo ameshachagua majina mawili ya kumpa mtoto wao akizaliwa. Akiwa wa kiume watamuita Travis na akiwa wa kike watamuita Malikah – Mtoto wa kike wa Mwana FA naye anaitwa jina hilo japo huandikwa tofauti, Maleeka. “Mama Travis...

Like
268
0
Wednesday, 08 February 2017
Kitu P Funk amesema baada ya kumualika Harmorapa kumtembelea studio
habari

Harmorapa umaarufu wake umeanzia tu kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii akijifananisha na mwimbaji wa WCB Harmonize na baada ya hapo ndio akaanza ku-trend. Leo February 6 2017 producer maarufu wa Bongo Records P Funk Majani ambaye anazo sifa nyingi za kuwa hodari wa kuwatoa Wasanii wengi, amemualika Harmorapa kwenye studio yake na kuipost picha wakiwa pamoja na ikazua maswali mengi. AyoTV  imempata P Funk na akakubali kujibu maswali ya ilikuaje wakakutana na mpaka akamualika studio ambapo amejibu >>> “Amekuja kiushkaji...

1
208
0
Tuesday, 07 February 2017
Ray Vanny kuja na ngoma aliyomshirikisha Diamond Ray Vanny kuja na ngoma aliyomshirikisha Diamond
habari

Good News kwenye muziki wa Bongo Fleva wiki iliyopita ni Ishu ya watanzania Diamond Platnumz,Alikiba na Navy Kenzo kushinda tuzo za Hipipo Music Awards huko Uganda. Moja ya tuzo alizoshinda Diamond ni tuzo ya Video bora East Africa kupitia video ya Salome aliyomshirikisha msanii wa label yake, Ray Vanny. Baada ya ushindi huo, Raymond amefunguka kuhusu kufanya tena ngoma a Diamond ambapo amedai kuwa itakuwa ni ngoma yake yeye. “Lazima,watu wasubiri,” amesema Ray kupitia Supermega ya Kings Fm. Tayari Rich...

Like
260
0
Tuesday, 07 February 2017
Ninafanya mpango wa kumshirikisha Davido, pia kukutana na Justin Bieber
habari

Malaika hakwenda Marekani kushangaa maghorofa, bali kutafuta kila connection inayoweza kumpaisha juu kimuziki. Akizungumza na DJ Haazu wa Radio5 ya Arusha, hitmaker huyo wa Zogo, amedai kuwa tayari ameshafanya collabo na msanii mkubwa wa Sierra Leone. Kama hiyo haitoshi, Davido na Justin Bieber nao wapo kwenye menu. “Mpaka sasa hivi nimefanya kazi na msanii mkubwa kutoka Sierra Leone na pia amenilink-up pamoja na Davido so nafikiri tutafanya kazi,” amesema Malaika.   “Na sasa hivi tunafanya kazi ya kukutana na Justin...

Like
179
0
Friday, 03 February 2017
Trace TV leo kuanza kuionesha video ya ‘Marry You’ ya Diamond na Ne-Yo
habari

Baada ya takriban miaka miwili tangu urekodiwe, hatimaye wimbo wa Diamond aliomshirikisha msanii wa Marekani, Ne-Yo, ‘Marry You’ unatoka rasmi, Jumatano hii. Ni Trace TV ndiyo inakuwa ya kwanza kuionesha video hiyo. Kituo hicho cha runinga kimepost video ya staa huyo kwenye Twitter akielezea kuhusu kurushwa kwa video yake. Tayari Youtube wimbo huu umewekwa kwenye utitiri wa channel lakini ulikuwa haujawahi kuachiwa rasmi. Video ya wimbo huo ilifanyika Marekani mwaka jana. Awali, video ilikuwa itoke mapema zaidi, lakini ratiba ilibadilika...

Like
185
0
Wednesday, 01 February 2017