TI

Tiny atuma ujumbe mpya kwa mumewe rapper T.I
habari

Baada ya Tiny kudai talaka kutoka kwa T.I, muimbaji huyo wa zamani wa kundi la Xscape ametuma ujumbe mpya na wa kushtua kwa mumewe huyo. Tiny ameonekana kwenye kipande cha video kilichopo kwenye mtandao wa TMZ, akiongea maneno ambayo yanaonyesha kuwa bado anamhitaji mumewe T.I wakati alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki moja kwa moja mtandaoni. “He need to come back to me, baby. He need to come on back to me. I’m where I’m ‘posed to be at,” amesema Tiny...

1
416
0
Tuesday, 24 January 2017