tour

Chris Brown kuja na ‘Party Tour’, 50 Cent na French Montana ndani
habari

Kwa sasa wasanii wamarekani wamekuwa wakichuana kwa kufanya ziara za kimuziki katika maeneo mbalimbali huku wengine wakivuka mipaka zaidi mpaka katika bara la Ulaya. Naye Chris Brown ametangaza ziara yake aliyoipa jina la ‘Party Tour’ ambapo itawakutanisha mastaa kibao. Katika ziara hiyo Breezy ataambatana na wasanii kama 50 Cent, French Montana, Fabolous, O.T. Genasis, Kap G na Casanova. Kupitia mtandao wa Twitter, Chris aliweka picha ya cover ya ziara hiyo na kuandika, “DATES COMING ASAP!!!! Whens the last time you’ve...

Like
422
0
Monday, 20 February 2017
Jokate akutana na Beyonce, Jay Z na Blue Ivy kwenye NBA All-Star Game
habari

Kukutana na Jay Z na Beyonce ni suala gumu, kukutana nao na ukashikana nao mikono na kuzungumza mawili matatu nao ni suala gumu zaidi. Lakini bahati hiyo ya mtende imeamuangukia mrembo wa Tanzania, Jokate Mwegelo Jumapili hii. Siamini: Jokate Mwegelo akisalimia na Jay Z huku mtoto wake, Blue Ivy akiamtazama kwa makini. Pembeni yao ni Queen Bey Jojo amefanikiwa kukutana na The Carters wakiwa na mtoto wao, Blue Ivy kwenye mchezo wa NBA All-Star Game uliofanyika Jumapili mjini New Orleans,...

Like
1114
0
Monday, 20 February 2017