us

Baba yangu aliuawa – Paris Jackson
habari

Mtoto wa Michael Jackson, Paris anaamini kuwa baba yake aliuawa. MJ alifariki June 25, 2009. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la The Rolling Stone, Paris alisema, “Alikuwa akielezea kuhusu watu waliokuwa wakimtafuta. Kuna wakati alisema ‘watakuja kuniua siku moja.’ Msichana huyo anasema kila mmoja kwenye familia yake anaamini kuwa kulikuwa na mpango mchafu dhidi ya baba yake. Anadai kuwa siku moja atapata haki yake. “Ni mchezo wa chess. Na ninajaribu kucheza mchezo wa chess vizuri.” Amemnyooshea vidole pia daktari wake,...

Like
170
0
Monday, 09 February 2015