video

Bruno Mars, Adele, John Legend na wengine kutumbuiza kwenye tuzo za Grammy mwaka huu
habari

Waandaaji wa tuzo za Grammy wamemtangaza Bruno Mars kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika utoaji wa tuzo hizo mwaka huu. Bruno anaungana na wasanii wengine ambao wametangazwa kuwasha moto katika jukwaa hilo akiwemo Adele, John Legend, Metallica, Carrie Underwood na Keith Urban. Wakati huo huo hitmaker huyo wa 24K Magic amechaguliwa kuwania tuzo hizo kupitia kipengele cha ALBUM OF THE YEAR. Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Jumapili ya February 12, 2017 katika ukumbi wa Staples Center uliopo mjini Los...

2
410
0
Tuesday, 24 January 2017
Tiny atuma ujumbe mpya kwa mumewe rapper T.I
habari

Baada ya Tiny kudai talaka kutoka kwa T.I, muimbaji huyo wa zamani wa kundi la Xscape ametuma ujumbe mpya na wa kushtua kwa mumewe huyo. Tiny ameonekana kwenye kipande cha video kilichopo kwenye mtandao wa TMZ, akiongea maneno ambayo yanaonyesha kuwa bado anamhitaji mumewe T.I wakati alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki moja kwa moja mtandaoni. “He need to come back to me, baby. He need to come on back to me. I’m where I’m ‘posed to be at,” amesema Tiny...

1
405
0
Tuesday, 24 January 2017
Ilinichukua saa moja tu kurekodi cover ya ‘Upepo’ ya Recho – Ray C
habari

Kwa muda wote ambao Recho alikuwa akifanya muziki, sauti yake ilikuwa ikifananishwa na ile ya Rehema Chalamila aka Ray C. Na Upepo, ni moja kati ya nyimbo za Recho zilizowahi kufanya vizuri. Sasa imagine, wimbo huo ukiimbwa na Ray C mwenyewe! Hatari. Muimbaji huyo mkongwe amepokea pongezi nyingi wiki hii kutokana na kufanya cover ya wimbo huo itakayojumuishwa kwenye album ya Valentine’s Day. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Loudspika cha Africa Swahili FM kinachoendeshwa na Ergon Elly kuwa ilimtumia saa...

1
466
0
Tuesday, 24 January 2017
Nini maana ya baruti na moshi kwenye video hizi tatu mpya za Bongo?
habari

Nafurahi ninapoona video kali zinazofanya vizuri kwenye channel za Bongo na nje ya Bongo ambazo zimeongozwa na director wazawa pia. Kuna kipindi waongozaji walikuwa wanalalamika kuwa wasanii wanakimbilia nje kushuti video, wakati hata wao wakipewa bajeti nzuri wanaweza kufanya kazi nzuri. Naweza kuwapongeza wasanii kwa kuona hilo licha ya kuwa bado serikali inalalamikiwa kuwa haitoi sapoti ipasavyo. Lakini kwa video hizi zilizotoka mwezi huu tena kwa kufukuzana pamoja na kuwa ni video kali ila naona kuna kitu kinajirudia tena kisicho...

Like
194
0
Tuesday, 24 January 2017