Vanessa Mdee na Ice Prince watumbuiza kwenye BBA Naija

Vanessa Mdee na Ice Prince watumbuiza kwenye BBA Naija

Like
382
0
Monday, 20 February 2017
habari

Vanessa Mdee na rapper wa Nigeria, Ice Prince Zamani jana wametumbuiza kwenye show ya Big Brother Naija 2017.

Wawili hao wanafanya vizuri na wimbo wao No Mind Em. Baada ya show hiyo Ice aliweka picha hiyo juu na kuandika: 1 for TV !!! @vanessamdee Thank You sister #NoMindDem 👑.”

Show yao imesifiwa na watu wengi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *