Young Killer aongea kuhusu kumpigia magoti Mona Gangster

Young Killer aongea kuhusu kumpigia magoti Mona Gangster

Like
209
0
Monday, 30 January 2017
habari

Ni Rapper mwingine kwenye fleva ya bongo sasa hivi ambapo amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV Entertainment Dar es salaam na kuongea ukweli kuhusu taarifa za yeye kumpigia magoti Mona Ganster.

Killer amesema ‘kuhusu kumpigia magoti binadamu mwenzangu ni jambo ambalo haliwezekani na halitawezekana lakini haikua katika muziki, kuna vitu vingine vilitokea kwenye maisha yetu binafsi na tulikua tunaingia kwenye mwezi wa Ramadhani na haikua vizuri tuingie katika mfungo umekwazana na mtu’

Young Killer anasemaje kuhusu kurudi kufanya kazi na Mona Gangster? kuhusu wanaosema Mona Gangster ndio alikua anampatia kuliko Producer mwingine? kuhusu mwaka 2016 kuwa mbaya kwake

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *